Description
(Siwahili)Fiqhi Ya ‘Ibada Yenye Picha Zilizochorwa
Mradi mkubwa wa fiqhi iliyochorwa ambao kila nyumba ya Muislamu haitakiwi kuikosa. -Mfumo kamili wa kujifundisha Fiqhi ya 'Ibada kwa watu na duru ya wanawake, taasisi za kheri na vyuo vya elimu. -Inasimamia katika kuwaunganisha watu kwa kitabu na Sunna kwa njia nyepesi na yenye picha. -Hukumu za ibada zinawepesishwa kwa Waislamu kwa njia ya elimu kwa kutumia njia za kisasa. -Elimu hutegemea uoni kama ilivyo kauli yake Mtume "Swalini kama mlivyoniona nikiswali" -Kila somo lina picha zake za kuielezea, mbali na picha za video. -Mfasiri wa lugha 14 mbali mbali, zinazozungumzwa na watu bilioni tano ulimwenguni. -Insaiklopidia ya Fiqhi imeambatanishwa (Zaidi ya video 50 na makumi ya vitabu na sauti zilizoingizwa)
</div